post-feature-image
HomeSIASA

GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA "NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA"

Click to see detail of visits and stats for this site

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliz...

KINANA KUHITMISHA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA LEO KWA KISHINDO
KINANA AWASILI KALENGA NA KUMUUNGA MKONO MGIMWA
TUME YATOA UFAFANUZI KUHUSU DAFTARI LA WAPIGA KURA LITAKALOTUMIKA KATIKA UCHAGUZI WA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke Iringa vijijini huku kukiwa na mvua kubwa ambayo hata hivyo haikuzuia kuendelea kwa mkutano huo, wananchi wa kijiji hicho walionekana kuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza mgombea huyo wa (CCM) walisikika wakisema nini mvua sisi tunataka sera tu tunataka tusikilize maneno ya huyu mgombea wa (CCM)PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 3Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Wenda huku mvua kubwa ikinyesha kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu. 4Mkutano ukiendelea huku wananchi wakimsikiliza wakiwa katika mvua kubwa 5Wananchi hawa wakimsikiliza mgombea huyo wa CCM huku wakiwa wamejihifadhi katika moja ya mabanda ya biashara ndogondogo kijijini hapo. 6Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu akimnadhi Bw. Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye kjiji cha Wenda kata ya Mseke. 7Wananchi wakinyanyua mikono0 yao juu kuonyesha ishara ya kumkubali Bw. Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Saadani. 9Msanii Dokii akiimba na wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Tanangozi kata ya Mseke. 10Wananchi wakiserebuka kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Tanangozi. 11Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Saadani kata ya Mseke. 12Umati uliohudhuria katika mkutano huo kijijini Saadani. 13Umati uliohudhuria katika mkutano huo kijijini Saadani.

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA "NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA"
GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA "NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA"
http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/213.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/godfrey-mgimwa-ahutubia-mkutano-wa.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/godfrey-mgimwa-ahutubia-mkutano-wa.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago