Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kata ya Magulilwa ,kijiji cha Magulilwa kwenye mkutano wa hadhara uliofa...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa kata ya Magulilwa ,kijiji cha Magulilwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kiwanja cha michezo kijijini hapo ambapo aliwaambia wananchi si vizuri kuwadanganya wananchi hasa watu wazima, hakuna maendeleo yanayokuja kama mvua, kila kitu kinaenda kwa taratibu na mipango hata Kalenga ya leo si kama ya zamani na amesisitiza kuwa CCM kwa kupitia mbunge wake mtarajiwa Ndugu Godfrey Mgimwa itaendelea kutekeleza ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2010.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, katika mkutano wa kampeni uliohudhuriwa na maelfu ya wananchi katika Kijiji cha Magulilwa, jioni hii.

Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchemba akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Magulilwa na kuwaambia wananchi wao moja ya mtaji mkubwa wa CCM ni mafanikio na maendeleo ya nchi yetu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Ludewa Ndugu Deo Filikunjombe ,na Mbunge wa Mwibala Ndugu Kange Lugola ambao kwa pamoja wamekuja kumuunga mkono mgombea wa ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia CCM Ndugu Godfrey Mgimwa mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya michezo vya kijiji cha Magulilwa leo Machi 14, 2014.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara)Ndugu Mwigulu Mchemba akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Ludewa Ndugu Deo Filikunjombe ,na Mbunge wa Mwibala Ndugu Kange Lugola ambao kwa pamoja wamekuja kumuunga mkono mgombea wa ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia CCM Ndugu Godfrey Mgimwa mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya michezo vya kijiji cha Magulilwa leo Machi 14, 2014.