Mkurugenzi wa Kampuni ya Bravo Job Centre, Jaffar Kingwande (kulia), akimkabidhi tiketi Amisa Ally (22), ya kwenda Dubai kufanya kazi ya nd...
Jazira Rashid akipatiwa tiketi ya ndege na nyaraka zingine kwa ajili ya safari ya kwenda Dubai kufanya kazi aliyotafutiwa na kampuni hiyo.
Amisa na Jazira wakiwa na baadhi ya maofisa wa Bravo pamoja na wadhamini wao
Meneja Uhusiano wa kampuni hiyo, Omar akifafanua jambo wakati wa kuwaaga wafanyakazi hao