Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Mt. Everest wakipata chakula chao cha mchana wakati wa sherehe hizo. Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pamo...

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Mt. Everest wakipata chakula chao cha mchana wakati wa sherehe hizo.

Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pamoja na wawakilishi wa wanafunzi waliopata Kipaimara wakikata keki kama ishara ya kupongezana.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mt.Everest,Sister Rose akitoa neno la shukrani na hongera kwa waliopata Kipaimara,Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na mwishoni kulia ni baba askofu Eseubius Nzigirwa.

Baba askofu Eseubius Nzigirwa akiingia kanisani kwa ajili ya ibada maalumu ya Kipaimara.

Wanafunzi wa shule ya Mt .Everest iliyopo Mbweni wakijiandaa kuingia kanisani tayari kwa kupata Kipaimara.