Gari alilotumia Mwalimu Nyerere katika Ujenzi wa Vijiji vya mfano ama maarufu kama vijiji vya Ujamaa, miaka ya 70 kwenye kijiji cha Nyabitak...
Gari alilotumia Mwalimu Nyerere katika Ujenzi wa Vijiji vya mfano ama maarufu kama vijiji vya Ujamaa, miaka ya 70 kwenye kijiji cha Nyabitaka ambapo inasemekana Mwalimu alikaa zaidi ya miezi sita na kushiriki katika ujenzi wa vijiji hivyo.
Kwa sasa Gari hilo lipo kwenye ofisi za wilaya ya Kibondo mkoani Kibondo.
Kwa sasa Gari hilo lipo kwenye ofisi za wilaya ya Kibondo mkoani Kibondo.