post-feature-image

MATUKIO ZAIDI YA KUMUAGA MTANGAZAJI KATIKA PICHA

Click to see detail of visits and stats for this site

Wafanyakazi wa DW, kuanzia kushoto ni Josephat Charo, Naibu Mkuu wa Idhaa Mohamed Abdulrahman,  baada ya msichana wa kutoka idhaa za Kireno ...

Othman Miraji amestaafu Deutsche Welle.
 
Baada ya miaka 35 ya utumishi wa uaminifu katika Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani, Othmani Miraji  ijumaa hii, 12.10.2012, ilikuwa siku yake ya mwisho kazini kama mhariri mwandamizi.Wafanyakazi wenzake, wakiongozwa na mhariri mkuu wa DW, Bibi Ute Shaeffer, na pia mkuu wa matangazo ya Kiswahili, Bibi Andrea Schmidt, walimfanyia karamu murua ya kumuaga na kumtakia kila la heri na afya njema katika maisha yake ya baadae. Pia walisifu mchango mkubwa alioutoa katika kuifanya DW iwe kuinganisho cha kupata habari za kuaminika na mototo kutoka duniani kote na katika kuikuza lugha ya Kiswahili. Othman Miraji alijiunga na DW akitokea idara ya kunasa matangazo ya BBC Monitaring service, Nairobi, Kenya, mwaka 1977 ambako alitumika kwa miaka saba.


 

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: MATUKIO ZAIDI YA KUMUAGA MTANGAZAJI KATIKA PICHA
MATUKIO ZAIDI YA KUMUAGA MTANGAZAJI KATIKA PICHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpBNXlK4tQZb_Ddc2gTq-q2M4tuCeSitDyRrED25fJTSqKzh_zVeVnVbFCnWpebbNlfYdUopRNAnL39tNaK_JxHTAhfq5acsRNvWNb2-2PnifSQF663Fpy94SmD2fg5AIyUrasQDSmUvY/s640/tn-4.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpBNXlK4tQZb_Ddc2gTq-q2M4tuCeSitDyRrED25fJTSqKzh_zVeVnVbFCnWpebbNlfYdUopRNAnL39tNaK_JxHTAhfq5acsRNvWNb2-2PnifSQF663Fpy94SmD2fg5AIyUrasQDSmUvY/s72-c/tn-4.jpeg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2012/10/matukio-zaidi-ya-kumuaga-mtangazaji.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2012/10/matukio-zaidi-ya-kumuaga-mtangazaji.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago