post-feature-image
HomeSIASA

KINANA KUHITMISHA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA LEO KWA KISHINDO

Click to see detail of visits and stats for this site

Leo historia itaandikwa kwa mara ingine katika jimbo la Kalenga,mahala ambapo inaaminika kuwa ndipo alipotokea Chifu Mkwawa, Historia inaony...

CCM YAFANYA UZINDUZI WA KAMPENI WA AINA YAKE CHALINZE
MAANDALIZI YA MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM CHALINZE YAPAMBA MOTO
MGIMWA ABEBWA JUU JUU KUSHANGLIA USHINDI
Leo historia itaandikwa kwa mara ingine katika jimbo la Kalenga,mahala ambapo inaaminika kuwa ndipo alipotokea Chifu Mkwawa, Historia inaonyesha watu wa Iringa ni wastaarabu sana na wana penda kushirikiana katika kupanga maendeleo yao.

Katika kuhitimisha kampeni za Ubunge jimbo la Kalenga CCM leo itafanya mkutano mkubwa wa aina yake kutokea katika jimbo la Kalenga kukiwa na viongozi mbali mbali kutoka ngazi ya Taifa na Jumuiya zake wakiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

Kinana ambaye anaaminika kukirudisha Chama kwenye mstari kutokana na sera zake za uwazi na ukweli na kushirikiana vizuri na kila mwananchi wa Tanzania leo ataungana na mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kupitia CCM Ndugu Godfrey Mgimwa kuhitimisha safari ndefu ya kampeni huko Kidamali.

Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia) ,Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Mwigulu Nchemba (Kushoto) kwa pamoja wakiinua mikono juu pamoja na mgombea wa ubunge jimbo la Kalenga Ndugu Godfery Mgimwa .

Godfrey Mgimwa akiwa amebebwa juu na wanachama na wapenzi wa CCM wakati akiingia kwenye viwanja vya mkutano Kalenga A. Moja ya sifa kubwa inayomuhakikishia ushindi Godfrey Mgimwa ni kutambua kuwa wana Kalenga ni ndugu zake ,wazazi wake, na marafiki zake na yupo tayari usiku na mchana kushiriki kuleta maendeleo ya jimbo hio.
Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: KINANA KUHITMISHA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA LEO KWA KISHINDO
KINANA KUHITMISHA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA LEO KWA KISHINDO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEituhZN4_eMxbD_SiM_At8x3AxYA5S4ByDxYxbURv1qgapQH8BOH8deDP4mm8Yj1V2ITS_mnIk7sI5h5bQ5HPOur5EsgSYM9grUgo3tlFOTXucQJ9IWQ1KbMp1uL1A8ta-AEwlm7iKNYpre/s1600/1234276_231780753690827_32267043_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEituhZN4_eMxbD_SiM_At8x3AxYA5S4ByDxYxbURv1qgapQH8BOH8deDP4mm8Yj1V2ITS_mnIk7sI5h5bQ5HPOur5EsgSYM9grUgo3tlFOTXucQJ9IWQ1KbMp1uL1A8ta-AEwlm7iKNYpre/s72-c/1234276_231780753690827_32267043_n.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/kinana-kuhitmisha-kampeni-za-ubunge.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/kinana-kuhitmisha-kampeni-za-ubunge.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago