post-feature-image
HomeSIASA

SWAGA ZA LEO TOSAMAGANGA NA KALENGA WAKATI WA KAMPENI ZA CCM

Click to see detail of visits and stats for this site

Mwananchi akiwa amepaki baiskeli yake yenye bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika kitongoji cha Tosamaganga wakati wa mkutano wa hadhara wa ...

JUKUMU LA ULINZI WA KURA KALENGA NI LA POLISI NA SI VINGINEVYO
GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA
KALENGA WAZIDI KUELIMIKA KUHUSU UMUHIMU WA KUPIGA KURA KWA CCM
Mwananchi akiwa amepaki baiskeli yake yenye bendera ya Chama Cha Mapinduzi katika kitongoji cha Tosamaganga wakati wa mkutano wa hadhara wa kumnadi mgombea ubunge kupitia CCM Ndugu Godfery Mgimwa.

 Dereva wa boda boda Ndugu Njunguli Mwakasege akiwa amepozi kwenye pikipiki yake wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM zilizofanyika Tosamaganga.
 Dada akiwa amependeza kimtoko wa CCM
 Mama akifurahi baada ya kusikia sera nzuri za viongozi wa CCM wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Tosamaganga.
 Shakira Kiwanga Mwenyekiti wa UWT Iringa vijijini akiwa ametulia kufuatilia hotuba mbali mbali kutoka kwa viongozi wa CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Tosamaganga.
 Wana CCM wakifuatilia mkutano kwa makini.
Kila mwenye uwezo wa kuchukua tukio picha na video alikuwa huru kufanya hivyo kwani mkutano wa CCM huwa ni burudani tosha kwa wana CCM
Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: SWAGA ZA LEO TOSAMAGANGA NA KALENGA WAKATI WA KAMPENI ZA CCM
SWAGA ZA LEO TOSAMAGANGA NA KALENGA WAKATI WA KAMPENI ZA CCM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj2mZ3lFJU9BP_UC8hkeORTO8jUd2azZnYm5hhIJ7c5cjd10K2sDlbiQ1ypNy8eSsuBXbeLvl23xLM-mnI7nV6dQ948drGGMmIFpUUV2FfmgkRZV9GpD69LzjNQUIJuLCihq5Wmm0g18G3A/s1600/9.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj2mZ3lFJU9BP_UC8hkeORTO8jUd2azZnYm5hhIJ7c5cjd10K2sDlbiQ1ypNy8eSsuBXbeLvl23xLM-mnI7nV6dQ948drGGMmIFpUUV2FfmgkRZV9GpD69LzjNQUIJuLCihq5Wmm0g18G3A/s72-c/9.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/swaga-za-leo-tosamaganga-na-kalenga.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/swaga-za-leo-tosamaganga-na-kalenga.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago