post-feature-image
HomeSIASA

GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA

Click to see detail of visits and stats for this site

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata...


Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani yao na kumpa kura za ndiyo siku ya machi 16 jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 2Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa na Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa wakiimba wimbo mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Itwaga. 3Msanii Dokii akitumbuiza katika kijiji cha Itwaga kabla ya kuanza mkutano huo. 4Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa 5Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma na msanii Dokii katika kijiji cha Itwaga kabla ya mkutano huo kuanza wa pili kutoka kulia ni Ndugu Jesca Msambatavangu Mwenyekiti wa CCM Iringa 6Diwani wa kata ya Mgama Bw. Denis LupCala akipiga magoti kumuombea kura mgombea wa CCM Bw. Godfrye Mgimwa. 7Wananchi wakinyanyua mikono yao juu kumuunga mkono Bw. Godfrey Mgimwa, 8Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano wa kampeni katika kijiji cha Itwaga. 9Wananchi wakirejea nyumbani mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo. 10Katibu wa CCM mkoa wa Iringa . Hassan Mtenga wa pili kutoka kushoto na kutibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe wakiteta jambo wakati wa mkutano wa kampeni katika kijiji cha Ilandutwa kulia ni Meja Mbuta meneja wa kampeni hizo na kushoto ni Mwampamba kada CCM kutoka UVCCM. 12Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo. 13Wananchi wakinyanyua mikono yao juujuu kuashiria kumkubali mgombea huyo.

11Wananchi wakifuatilia kwa makini hotuba ya mgombea ubunge huyo.

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA
GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA
http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/127.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/godfrey-mgimwa-awaomba-wanakalenga.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/godfrey-mgimwa-awaomba-wanakalenga.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago