post-feature-image
HomeSIASA

CCM YAFANYA UZINDUZI WA KAMPENI WA AINA YAKE CHALINZE

Click to see detail of visits and stats for this site

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Chalinze kwenye mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni za ubunge kupi...


 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Chalinze kwenye mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni za ubunge kupitia CCM jimbo la Chalinze ambapo Kinana aliwaeleza wananchi walifuruka kwenye uwanja wa Miembe Saba kuwa "Hatupo hapa kushindana na wapinzani tupo hapa kutatua kero za wananchi wa Chalinze"

 Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa nafasi ya ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa uzinduzi  rasmi wa kampeni za ubunge jimbo la Chalinze.
 Mgombea Ubunge Jimbo la Chalinze kupitia CCM akihutubia wananchi wa jimbo hilo wakati wa mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni ambapo mgombea huyo aligusia masuala ya afya,barabara,elimu na kilimo cha kisasa na kuwaambia wananchi hao na anatambua changamoto zilizokuwepo hasa migogoro ya wakulima na wafugaji ambapo alisema unahitajika kutengenezwa mpango mzuri wa matumizi bora ya ardhi.







Mama Salma Kikwete akiwa mstari wa mbele kumpigia kampeni mwanae Ridhiwani Kikwete kwenye mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni uliofanyika Miembe Saba Chalinze.






Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: CCM YAFANYA UZINDUZI WA KAMPENI WA AINA YAKE CHALINZE
CCM YAFANYA UZINDUZI WA KAMPENI WA AINA YAKE CHALINZE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOGh6tGLJbWavFVzShpVpVOYrrqfEvPCWLERnavoK6lnIJuZomZty3genzssUueZwNqrlPiKvZudDQJquFBTvaypsLib65KOmpYWx04AT2n6ltM0cOLPV8mGfMoVQNiebMfxjD6AlHtTk/s1600/16.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOGh6tGLJbWavFVzShpVpVOYrrqfEvPCWLERnavoK6lnIJuZomZty3genzssUueZwNqrlPiKvZudDQJquFBTvaypsLib65KOmpYWx04AT2n6ltM0cOLPV8mGfMoVQNiebMfxjD6AlHtTk/s72-c/16.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/ccm-yafanya-uzinduzi-wa-kampeni-wa-aina.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/ccm-yafanya-uzinduzi-wa-kampeni-wa-aina.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago