post-feature-image
HomeSIASA

WANANCHI KALENGA WAJITOKEZA KUPIGA KURA LEO

Click to see detail of visits and stats for this site

  Wakazi wa Kalenga A wakiwa kwenye wamejipanga mstari wakati wa kupiga kura ambapo vyama vitatu vimesimamisha waogombea katika uchaguzi mdo...

RIDHIWANI AHANI MISIBA MIWILI CHALINZE
TASWIRA ZA RAIS KIKWETE BAADA YA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA MACHI 21, 2014
SHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA TAARIFA JUU YA UTEKELEZAJI WAKE WA MPANGO KABAMBE WA MIAKA KUMI (2014-2023).
 Wakazi wa Kalenga A wakiwa kwenye wamejipanga mstari wakati wa kupiga kura ambapo vyama vitatu vimesimamisha waogombea katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga vyama hivyo ni CCM,CHAUSTA na CHADEMA.
 Wakina Mama wa Kalenga A wakiangalia majina yao kwenye orodha ya wapigaji kura iliyobandikwa kwenye kituo cha upigaji kura.
 Bibi Zaina Konji akipata msaada kutoka kwa Susan Madugulu wakati wa upigaji kura kata ya Ulanda kijiji cha Mangalali.
 Bibi Zaina Konji akipiga kura kutimiza haki yake ya kisheria katika kumchagua mbunge wake wa jimbo la Kalenga atakayewaongoza katika kipindi kilichobaki.
 Msimamizi wa kituo cha kupiga kura kata ya Ulanda Lenny Kikungwe akitoa maelezo kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupiga kura .
 Uhakiki wa jina la mpiga kura ukifanywa kwa umakini wakati zoezi la upigaji kura likiendelea katika uchaguzi mdogo wa Kalenga.

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: WANANCHI KALENGA WAJITOKEZA KUPIGA KURA LEO
WANANCHI KALENGA WAJITOKEZA KUPIGA KURA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj59SRROpEB9oHMly3XlB3ZbUHksCUIBiuqfyIjmB9dWUVht9LCisJbZ1JyQjt5-OLbxxgEjFJZN1pGtxKssIC3tl2sKbq050AGK4HuPVunraZ-1sbRIY6y4-PItQBenICgkycmrVp5_EnS/s1600/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj59SRROpEB9oHMly3XlB3ZbUHksCUIBiuqfyIjmB9dWUVht9LCisJbZ1JyQjt5-OLbxxgEjFJZN1pGtxKssIC3tl2sKbq050AGK4HuPVunraZ-1sbRIY6y4-PItQBenICgkycmrVp5_EnS/s72-c/2.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/wananchi-kalenga-wajitokeza-kupiga-kura.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/wananchi-kalenga-wajitokeza-kupiga-kura.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago