post-feature-image
HomeSIASA

MWENYEKITI WA CHADEMA WANGAMA AJISALIMISHA CCM, ASEMA WENGI WAKO NYUMA YAKE

Click to see detail of visits and stats for this site

Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma pamoja na...


Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma pamoja na Mwenyekiti wa (CCM) mkoa wa Iringa Bi. Jesca Msambatavangu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika kijiji cha Wangama kata ya Luhota mahali ambapo pi ndiyo alipozaliwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia (CHADEMA) Bi Grace Tendega, Katika mkutano huo Mwenyekiti wa Chadema katika kijiji hicho Bw.John Mgata amejisalimisha na kurejea CCM ambapo amesema wanachama wengine zaidi ya 50 wamekata shauri na wameamua kumfuata na kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM).(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 2Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akimpongeza Bw. Mwenyekiti wa CHADEMA katika kijiji cha Wangama Bw, John Mgata mara baada ya kurejea CCM katika mkutano huo uliofanyika kijijini hapo leo. 3Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Wangama Kata ya Luhota wakati wa mkutano wake wa kampeni kwa ajili ya kuomba kura. 4Msanii Dokii akitumbuiza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Ikuvilo kata ya Luhota. 5Viongozi mbalimbali na makada wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano huo uliofanyika kijiji cha Wangama. 5AMgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa Bw. Godfrey Mgimwa akipokelewa na wananchi wa kijiji cha Ikuvilo kata ya Luhota wakati alipowasili kijijini hapo kwa ajili ya mkutano wa kampeni leo 6Katibu wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa Bw. Hassan Mtenga akimtangaza Mwenyekiti wa CHADEMA kijiji cha Wangama Bw. John Mgata mara baada ua kurejesha kadi na kujiunga na Chama cha Mapinduzi katika mkutano uliofanyika leo kijijini hapo 8Juliana Shonza kada wa CCM kutoka UVCCM Makao Makuu akiwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika kijiji cha Wangama kata ya Luhota mkoa. 9Wananchi wa kijiji cha Wangama wakipunga mikono yao juu wakati mgombea wa ubunge katika jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa hayupo pichanai alipokuwa akiwahutubia 11Wananchi wa kijiji cha Ikuvilo wakipunga mikono yao juu wakati mgombea wa ubunge katika jimbo la Kalenga Bw. Godfrey Mgimwa hayupo pichanai alipokuwa akiwahutubia

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: MWENYEKITI WA CHADEMA WANGAMA AJISALIMISHA CCM, ASEMA WENGI WAKO NYUMA YAKE
MWENYEKITI WA CHADEMA WANGAMA AJISALIMISHA CCM, ASEMA WENGI WAKO NYUMA YAKE
http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/19.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/mwenyekiti-wa-chadema-wangama.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/mwenyekiti-wa-chadema-wangama.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago