post-feature-image
HomeSIASA

MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA

Click to see detail of visits and stats for this site

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kupiga ngoma ya asili ya Kihehe wakati alipowas...


Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kupiga ngoma ya asili ya Kihehe wakati alipowasili katika kijiji cha Kikombwe Kata ya Lwamgungwe katika jimbo la Kalenga Wilaya ya Iringa vijijini mkoani humo leo kwa ajili ya mkutano wa kampeni ambapo uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa utafanyika Machi 16 mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 1aMngombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akizungumza na wananchi katika kijiji cha kikombwe katika kata ya Lwamgungwe. 2Mngombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akipungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano kijijini Kikombwe 3Mngombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kucheza ngoma ya kihehe pamoja na msanii Dokii katika mkutano huo. 4Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe akiwahutubia wananchi katika kijiji hicho. 5Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za viongozi katika mkutano huo kijini Kikombwe. 6Katibu wa CCM mkoa wa Mtwara Bw. Akwilombe akiwahutubia wananchi katika kijiji hicho. 8Wananchi wakicheza ngoma katika mkutano huo 9 Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akipokewa kwa shangwe katika kijiji cha Lupembelwasenga kata ya Lwamgungwe.

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA
MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA
http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/14.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/mgombea-ubunge-godfrey-mgimwa-aendelea.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/mgombea-ubunge-godfrey-mgimwa-aendelea.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago