post-feature-image
HomeSIASA

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA, ASEMA HAKWENDA KUPIGA KAMPENI KALENGA BALI KURATIBU

Click to see detail of visits and stats for this site

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Mama Delfina Mtavilalu mara baada ya kuw...

MAANDALIZI YA MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM CHALINZE YAPAMBA MOTO
MGIMWA ABEBWA JUU JUU KUSHANGLIA USHINDI
MATOKEO YASIYO RASMI CCM YAONGOZA KATA 11 KATI YA 13 KALENGA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Iringa Vijijini Mama Delfina Mtavilalu mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Iringa ambapo alipokelewa na baadhi ya viongozi wa mkoa huo na kuelekea moja kwa moja ofisini ambapo alifanya mazungumzo mafupi na viongozi hao na baadae akakutana na waandishi wa habari, Akizungumza na waandishi wa habari amesema yeye hakkwenda iringa kupiga kampeni kwakuwa kampeni zinapigwa na kamati za siasa pamoja na viongozi mbalimbali kutokana na jinzi walivyopangiwa kazi yake yeye ni kuratibu kampeni hizo na kupokea taarifa za kampeni hizo na kuona kama kamati za siasa za kata zinafanya kazi, Chama cha Mapinduzi kiko katika kampeni jimbo la Kalenga pamoja na vyama vingine kikiwa kimemsimamisha Bw. Godfrey Mgimwa ambapo uchaguzi wa jimbo hilo unatarajiwa kufanyika Machi 16 mwaka huu.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-IRINGA) 1aAkizungumza na waandishi wa habari huku akionyesha moja ya gazeti lililowahi kuripoti kampeni hizo kwa picha Philip Mangula amelaani kampeni alizodai zinadhalilisha watoto zinazofanywa na CHADEMA huku akionyesha mmoja wa watoto ambaye alipigwa picha huku akionyesha sare zake za shule ambazo zimechakaa na kuchanika na mmoja wa wapiga debe wa chama hicho akisema kutangaza umasikini wa mtu ni kumdhalilisha 2Philip Mangula akiingia katika ofisi za mkoa wa Iringa huku akiwa ameongozana na Katibu wa Mkoa wa Iringa Bw. Hassan Mtenga na viongozi wengine. 3Kipande Cha Gazeti hilo kikionyesha picha iliyochapishwa hivi karibuni inayodaiwa kumdhalilisha mtoto. 4Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akielezea zaidi kuhusu picha hiyo

5Mwandishi wa habari wa ITV Bw. Silvanus Kigomba akiuliza swali kwa Mzee Philip Mangula wakati wa mkutano huo. 6Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akifafanua zaidi swali la mwandishi huyo 7Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akielezea mambo mbalimbali yanayohusu uchaguzi huo ambapo amesema CCM ni waumini wa Amani na kwamba katika jimbo la Kalenga hagombei Godfrey Mgimwa bali kinachogombea ni Chama cha Mapinduzi kwani ungekuwa ni ukoo wa mgimwa unagombea basi ungeona akina mgimwa woote wako mbelea wakipiga debe ili washinde lakini kwa sababu ni CCM inagombea ndiyo maana utaona viongozi na wana CCM mbalimbali wakishiriki katika kampeni hizo ili kukipatia ushindi chama chao. 8Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akizungumza nabaadhi ya viongozi wa CCM mkoa wa Iringa kabla ya kuelekea Ifunda ambako atapiga kambi huko.

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA, ASEMA HAKWENDA KUPIGA KAMPENI KALENGA BALI KURATIBU
MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA MZEE PHILIP MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA, ASEMA HAKWENDA KUPIGA KAMPENI KALENGA BALI KURATIBU
http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/03/11.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
https://haki-test.blogspot.com/2014/03/makamu-mwenyekiti-wa-ccm-bara-mzee.html
https://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/03/makamu-mwenyekiti-wa-ccm-bara-mzee.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago