Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipita katikati ya Chipukizi wa CCM Baada ya kuvishwa skafu alipowasili kwenye uwanja wa Kigom...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipita katikati ya Chipukizi wa CCM Baada ya kuvishwa skafu alipowasili kwenye uwanja wa Kigoma ambapo atakuwa na ziara ya siku sita ndani ya mkoa wa Kigoma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye mara alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma, pia Katibu Mkuu alimpongeza Nape kwa ushindi mkubwa wa uchaguzi wa ubunge jimbo la Chalinze.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisaliminana na baadhi ya viongozi wa CCM Mkoa wa Kigoma waliofika kumlaki leo katika uwanja wa ndege wa Kigoma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua miradi ya kiuchumi iliyojengwa kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na vijana waliokuwa wanarekebisha mifereji kando kando ya uwanja wa Ndege wa Kigoma mara alipowasili mkoani hapo na kuwapongeza kwa kazi nzuri na kuwasihi kuwa wafanyakazi wenye kufikiria maendeleo ya kwao na ya kujenga nchi kwa jumla kwani nchi bado inawahitaji vijana wachapakazi kama wao.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamanda wa Matukio Ndugu Richard Mwaikenda na Bakari Kimwanga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma.