Archive Pages Design$type=blogging

KIMATAIFA

KINANA AMWAGIA SIFA JK

Ampongeza kwa ujenzi wa madaraja matatu makubwa, Daraja la Malagarasi,Kilombero na Daraja la Kigamboni. Ujenzi wa Sekondari za Kata Wanacham...

  • Ampongeza kwa ujenzi wa madaraja matatu makubwa, Daraja la Malagarasi,Kilombero na Daraja la Kigamboni.
  • Ujenzi wa Sekondari za Kata
  • Wanachama  wapya 160 na 7 kutoka upinzani wajiunga na CCM
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini na kuwataka kufanya kazi kwa umoja na mshikamano .
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya Kigoma Vijijini wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wakazi wa wilaya ya Kigoma Vijijini waliokuwa nje ya ofisi za CCM Wilaya kabala ya kuelekea kwenye kijiji cha Mahembe ambapo mkutano mkubwa wa hadhara ulifanyika.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa wilaya ya Kigoma Vijijini akiwa pamoja na kiongozi wa Umoja wa Madereva na Makondakta wa Wilaya hiyo Ndugu Mgaya Mustafa ambaye alitoa taarifa ya kuwepo kwa kero ya kukamatwa Daladala kwa sababu ya kukosa sare za dereva na kondakta ambazo kwa maelezo ya madereva hao tatizo lipo kwa aliyepewa tenda kuchelewesha kushona.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mkungwe kata ya Mahembe wilaya ya Kigoma Vijijini na kuwaambia Chama Cha Mapinduzi kiahidi kinachoweza kutekelezeka hivyo ahadi ya kuwapatia maji wanakijiji hao ipo na mkandarasi alishajenga mradi kwa asilimia 70 hivyo watapata maji mapema iwezekanavyo.
  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia mradi wa maji  katika kijiji cha Mkungwe kata ya Mahembe wilaya ya Kigoma Vijijini
 Kijiji cha Mkungwe wilaya ya Kigoma Vijijini kupata maji safi na salama hivi karibuni.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kijiji cha Mahembe ambapo alitoa sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete kwa kujenga madaraja makubwa matatu,Maragarasi ,Kilombero na Kivukoni na kujenga Shule za Kata nchi nzima.

COMMENTS

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: KINANA AMWAGIA SIFA JK
KINANA AMWAGIA SIFA JK
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZWUcvzH9dWWl7mQgNDtbLpqd_bo-Qv7_jHEb4LAI_RN6amQVtviNnN5e03Dcpievibl9d_9-_lCcknEDD8wph-q-L8qIY9mJxRIEYGnlcKjkZB6mRLf8SzXbflW9v6SXHxbn52GCGJ0o/s1600/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZWUcvzH9dWWl7mQgNDtbLpqd_bo-Qv7_jHEb4LAI_RN6amQVtviNnN5e03Dcpievibl9d_9-_lCcknEDD8wph-q-L8qIY9mJxRIEYGnlcKjkZB6mRLf8SzXbflW9v6SXHxbn52GCGJ0o/s72-c/2.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
http://haki-test.blogspot.com/2014/04/kinana-amwagia-sifa-jk.html
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/04/kinana-amwagia-sifa-jk.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago