Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana katika mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni katika ...
Rais Paul Kagame wa Rwanda akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana katika mazungumzo yaliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Serena, Mjini Kigali Rwanda.
Picha na Edward J. Mpogolo ( Ofisi ya Katibu Mkuu)
Kinana (kulia) pamoja na Mjumbe wa NEC CCM, Ndugu Balozi Ali Abeid Karume baada ya kufanya mazungumzo na Kinana, hivi karibuni katika Hoteli ya Serena, Mjini Kigali Rwanda.