Archive Pages Design$type=blogging

KIMATAIFA

KINANA AHUTUBIA KWENYE MVUA KIGOMA

Asisitiza Umoja na Mshikamano Kigoma Asema ahadi zote zitatekelezwa Awataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi ...

  • Asisitiza Umoja na Mshikamano Kigoma
  • Asema ahadi zote zitatekelezwa
  • Awataka Viongozi wa CCM kufanya mikutano mingi na wanachama na wananchi kwa jumla
  • Nape afundisha Umma Demokrasia ya kweli,aonyesha namna gani vyama vingi vya upinzani ni wababaishaji atolea mifano namba alivyotelekezwa mgombea wa Chalinze
  • Zaidi ya wanachama 350 wajiunga na CCM
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM itatekeleza kila walichoahidi.
Kila mtu alijikinga na mvua kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre
Viti vikitumika kujikinga na mvua iliyokuwa inanyesha wakati wa mkutano wa CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanga Community Centre wilaya ya Kigoma mjini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (wa kwanza kulia),Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma Dk. Aman Walid Kaborou, Balozi Karume na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu wakati wa mkutano wa hadhara bila kujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha.
Mbunge wa Kigoma mjini Mheshimiwa Peter Serukamba akiwahutubia wakazi wa Kigoma mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanga Community Centre na kuwaambia kuwa Kigoma imebadilika na bado anapigania wananchi hao wapate maji salama na ya kutosha.
Upinde wa Mvua unaonekanika kabla mvua kubwa haijanyesha kwenye viwanja vya Mwanga Community Centre ambapo mkutano mkubwa wa CCM ulikuwa unafanyika.
:
Mjumbe wa NEC Balozi Ali Abeid Karume akiwahutubia wakazi wa Kigoma mjini  na kuwaambia kuwa Muungano wa Serikali mbili ndio Muungano pekee utakaodumisha Umoja miongoni mwa wananchi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia umati wa wakazi wa Kigoma mjini kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanga Community Centre ambapo aliwaambia kuwa vyama vya upinzani vinaelekea kutoweka mapema kabla hata havijakomaa kidemokrasia.

COMMENTS

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: KINANA AHUTUBIA KWENYE MVUA KIGOMA
KINANA AHUTUBIA KWENYE MVUA KIGOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiO8YM6nrdaeMVTjPYIOHl9mBa-IVeDeFeXDRjuG3u6ik_ioVVGAxAfDF11P-cdPiQ-BXoGmeGwjM9n2GimpPmtgHSxUdJq_rQwAMK4-lN9-HSB3czntx8h3zFMBdv50VCHOM_UQ8cEwkE/s1600/6.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiiO8YM6nrdaeMVTjPYIOHl9mBa-IVeDeFeXDRjuG3u6ik_ioVVGAxAfDF11P-cdPiQ-BXoGmeGwjM9n2GimpPmtgHSxUdJq_rQwAMK4-lN9-HSB3czntx8h3zFMBdv50VCHOM_UQ8cEwkE/s72-c/6.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
http://haki-test.blogspot.com/2014/04/kinana-ahutubia-kwenye-mvua-kigoma.html
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/04/kinana-ahutubia-kwenye-mvua-kigoma.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago