Archive Pages Design$type=blogging

KIMATAIFA

DAKIKA 90 ZA DUNIA: MAADHIMISHO YA KWIBUKA 20,WASHINGTON DC.

 Wiki kama hii, miaka 20 iliyopita, nchi ya Rwanda ilishuhudia kuanza kwa mauaji ambayo kwa siku 99 zilizofuata, yaliacha historia mbaya na ...


 Wiki kama hii, miaka 20 iliyopita, nchi ya Rwanda ilishuhudia kuanza kwa mauaji ambayo kwa siku 99 zilizofuata, yaliacha historia mbaya na ambayo itaendelea kukumbukwa na vizazi vijavyo.
Ndani ya siku 100, watu wanaokadiriwa kufika milioni 1 waliuawa katika mauaji ya kimbari.
Miaka 20 baadaye (mwaka huu), dunia nzima imeungana na Rwanda kukumbuka kile ambacho wengi wanaona kuwa kilitokea na kuachwa kuendelea kutokana na Jumuiya ya kimataifa kutoingilia kati na kutoa msaada muafaka kwa wakati muafaka.
Kumekuwa na matukio mbalimbali kukumbuka mauaji ya kimbari ya Rwanda ambayo yamefanyika duniani kote, Kutoka Kigali Rwanda mpaka hapa Dar-Es Salaam na hata huko Washington DC.

Hii ni sehemu ya ripoti ya Kwanza Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM).
Hii ilikuwa ripoti ya Aprili 12, 2014

COMMENTS

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: DAKIKA 90 ZA DUNIA: MAADHIMISHO YA KWIBUKA 20,WASHINGTON DC.
DAKIKA 90 ZA DUNIA: MAADHIMISHO YA KWIBUKA 20,WASHINGTON DC.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfGV4bQEac2c2zuuT8qZKaplsXXT4B5GTA7lPSHHolnJDISltmFLLqn7V2AsJ5WHtccEEbb94litqoRsSAL2SZ8-scsJtG6l9nM3QSe1KngL5L3Jdn1Jwa8zOGU5jQtA3PKSqeJlGnb-Q/s1600/rwanda-e1396504262883-680x365.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfGV4bQEac2c2zuuT8qZKaplsXXT4B5GTA7lPSHHolnJDISltmFLLqn7V2AsJ5WHtccEEbb94litqoRsSAL2SZ8-scsJtG6l9nM3QSe1KngL5L3Jdn1Jwa8zOGU5jQtA3PKSqeJlGnb-Q/s72-c/rwanda-e1396504262883-680x365.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
http://haki-test.blogspot.com/2014/04/dakika-90-za-dunia-maadhimisho-ya.html
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/04/dakika-90-za-dunia-maadhimisho-ya.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago