Archive Pages Design$type=blogging

KIMATAIFA

[AUDIO] DAKIKA 90 ZA DUNIA. MAUJI KWENYE KAMBI YA JESHI FORT HOOD

Jenerali Mark Milley, Kamanda wa Fort Hood akizungumza na waandishi wa habari Wiki iliyopita, nchi ya Marekani ilikumbwa na mauaji mengine...


Jenerali Mark Milley, Kamanda wa Fort Hood akizungumza na waandishi wa habari
Wiki iliyopita, nchi ya Marekani ilikumbwa na mauaji mengine yaliyotokea kwenye kambi ya jeshi huko Fort Hood, Texas.
Jumatano Aprili 2, askari mmoja wa Jeshi la nchi hiyo, Ivan Lopez ambaye inasemekana alikuwa na matatizo ya msongo wa mawazo, aliwafyatulia risasi na kuwaua wanajeshi wenzake 3, kujeruhi 16 kabla hajajigeuzia bastola na kujiua
Mauaji haya, yanarejesha kumbukumbu ya mauaji makubwa kabisa kutokea kwenye kambi za jeshi nchini humo, yaliyotokea kwenye kambi hiyohiyo takriban miaka 5 iliyopita.

Hii ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM).
Hii ilikuwa ripoti ya Aprili 5, 2014

COMMENTS

Name

KIMATAIFA KITAIFA MICHEZO NA BURUDANI SIASA TEKNOLOJIA VIDEOS
false
ltr
item
Haki Ngowi Dummy blog: [AUDIO] DAKIKA 90 ZA DUNIA. MAUJI KWENYE KAMBI YA JESHI FORT HOOD
[AUDIO] DAKIKA 90 ZA DUNIA. MAUJI KWENYE KAMBI YA JESHI FORT HOOD
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpuFUY-yaXfFCQe9VZLzV7AdakXAMUiUUVTLSSj8ZW6S0JZN921X9a3waddUO6-UqdXUgLZch7sHqtNQKMoXRmM7H0s8ctFy_o4Q_okRPCigadOuqiGhyphenhyphenbj0Hr9JKFrr7joCK1Ls4e8z8/s1600/fort-hood-shooting-ftr.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjpuFUY-yaXfFCQe9VZLzV7AdakXAMUiUUVTLSSj8ZW6S0JZN921X9a3waddUO6-UqdXUgLZch7sHqtNQKMoXRmM7H0s8ctFy_o4Q_okRPCigadOuqiGhyphenhyphenbj0Hr9JKFrr7joCK1Ls4e8z8/s72-c/fort-hood-shooting-ftr.jpg
Haki Ngowi Dummy blog
http://haki-test.blogspot.com/2014/04/audio-dakika-90-za-dunia-mauji-kwenye.html
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/
http://haki-test.blogspot.com/2014/04/audio-dakika-90-za-dunia-mauji-kwenye.html
true
7141405487204459096
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago