Ndugu waTanzania muishio Bangalore,Mh Balozi wetu wa Tanzania hapa India,anategemewa kufika hapa Bangalore siku ya Ijumaa jioni na kuanza zi...
Ndugu waTanzania muishio Bangalore,Mh Balozi wetu wa Tanzania hapa India,anategemewa kufika hapa Bangalore siku ya Ijumaa jioni na kuanza ziara yakerasmi ya kukutana kuzungumza na wanafunzi wote wa Bangalore siku ya Jumamosi,ratiba kamili ya ziara yake ni kama ifutavyo asubuhi ya jumamosi saa 9:30am,mpaka saa 12:30pm atakutana na wanafunzi wote waishio maeneo ya A,na kuanzia saa 02:00pm mpaka 4:30pm atakutana na wanafunzi wote wa maeneo ya
Kamanhali,Indranagar,Banashankar,banaswadi koramangala,bupasandra katika ukumbi wa CMR INSTITUTE OF
MANAGEMENT,KAMANHALI,kufika kwenu ndio ufanikisho wa sherehe hii nzima
Ndugu waTanzania Uongozi wa Tasaba unawaomba kuzingatia muda ili kufanikisha
zoezi zima la ziara hii ya Mh wetu ........Tasaba oyeeeeeeee........idumu tasaba
,idumu zaidi.